atia
1. Uwezo au sifa ya pekee ambayo mtu amejaliwa kuwa nayo; kipawa. 2. Kitu kinachotolewa kwa mtu kwa hiari kama ishara ya upendo, shukrani au pongezi.
Vimepatikana vidahizo 14 vinavyoishia kwa silabi tia.
1. Uwezo au sifa ya pekee ambayo mtu amejaliwa kuwa nayo; kipawa. 2. Kitu kinachotolewa kwa mtu kwa hiari kama ishara ya upendo, shukrani au pongezi.
1. Samaki mdogo wa vidimbwi katika maeneo ya mikoko. 2. Tembea kwa ncha za vidole ili usisikike. 3. Tembea kwa maringo au mikogo.
Shika kitu au mtu kwa ghafla.
Mkate wa ibada ya misa unaohusishwa na karamu ya mwisho.
Kofia ya kuvalishwa mtoto mdogo.
Panda tena mbegu au miche kuchukua nafasi ya iliyokosekana.
Jahazi la milingoti miwili lenye shetri iliyoinuka.
1. Mshike mtu kwa mikono mwili wako ukigusana naye kwa upendo. 2. Shikilia kitu au msimamo kwa nguvu.
1. Shikamana na kitu kingine kwa kuganda. 2. Chelewa kufikia wengine au kubaki nyuma.
Mshawishi mtu atamani kula kwa mwonekano au harufu ya chakula.
1. Weka kitu ndani ya kingine. 2. Fanya kitu au mtu apate sifa fulani.
Bonyea na kuzama katika ardhi laini.
Jaza shimo kwa udongo au kifusi.
Kuweka jambo katika fikra na kulipa umuhimu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.