Vinjari kwa Silabi

Silabi: tea

Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi tea.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 6

Vidahizo

6 kwenye ukurasa huu

botea

Mche unaoota kutokana na mbegu au mabaki ya mazao yaliyobaki shambani baada ya mavuno.

tetea

1. Simamia haki ya mtu na kumsaidia kuidai. 2. Lia kama kuku anayetaka kutaga. 3. Imba au soma kwa sauti yenye mvuto. 4. Kuku kutoa mlio wakati ...