Vinjari kwa Silabi

Silabi: tai

Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi tai.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 2

Vidahizo

2 kwenye ukurasa huu

mtai

1. Alama iliyochanjwa au kukwaruzwa mwilini. 2. Mstari unaopita kwa mshazari.

tai

1. Ndege mkubwa mwenye mdomo uliopinda anayekula mizoga na wanyama wadogo. 2. Kitambaa kirefu chembamba cha kufunga shingoni chini ya ukosi.