dasta
Kifaa cha kufutia maandishi ubaoni.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi sta.
Kifaa cha kufutia maandishi ubaoni.
Mwalimu anayefundisha misingi ya dini ya Kikristo.
1. Kitambaa chenye sehemu ya kunata cha kufunikia kidonda. 2. Mchanganyiko wa saruji, mchanga na maji wa kulainishia uso wa ukuta. 3. Kifuniko ki...
Shirika la kusafirisha na kuwasilisha barua, vifurushi na mizigo.
1. Mtindo wa nywele zilizojikusanya au kusokotwa kuwa mashungi marefu kama kamba. 2. Mtu mwenye nywele zilizotengenezwa kwa mtindo wa rasta.
1. Bahasha ya posta inayotumwa kwa utaratibu wa kusajili kupokewa kwake. 2. Daftari la kuorodhesha watu, vitu au matukio. 3. Mtindo wa lugha unao...
Mojawapo ya vipindi viwili vikuu vya mwaka wa masomo.
Kifaa cha kielektroniki cha kudhibiti au kukuza ishara za umeme.
1. Mtu asiyependelea upande wowote. 2. Mtu anayewaunganisha wahusika katika mazungumzo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.