bweshu
Mtu asiyechangamka au anayeonekana kuzubaa.
Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi shu.
Mtu asiyechangamka au anayeonekana kuzubaa.
1. Kitu cha ovyo kisicho na thamani inayothaminiwa. 2. Mtu anayechukuliwa kwa dharau na kutoheshimiwa.
Ganda la nje la tunda au mbegu.
Mfanyakazi wa serikali wa kukusanya taarifa za usalama wa taifa.
1. Mkusanyiko wa seli zinazoshirikiana kufanya kazi mwilini. 2. Karatasi nyepesi na laini ya kupangusia.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.