ubabaishaji
Mwenendo wa kufanya mambo bila mpangilio mzuri.
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi sha:ji.
Mwenendo wa kufanya mambo bila mpangilio mzuri.
Utoaji wa ruhusa ya kufanya jambo.
Kuvifanya vitu vilingane katika kiwango.
Kumzoesha mgeni utamaduni wa mazingira mapya.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.