gwase
Nguruwe anayeishi porini.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi se.
Nguruwe anayeishi porini.
Aina ya nge mwenye ukubwa mdogo.
Mafuta yanayopatikana katika tunda la mchikichi.
Ndege mwenye mdomo mrefu anayefanana na kitwitwi.
Neno la kuonyesha kuwa jambo la pili lina uzito zaidi katika ulinganisho.
1. Shanga za wanawake zinazovaliwa kiunoni. 2. Mmea ambao majani yake hujikunja yanapoguswa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.