Vinjari kwa Silabi

Silabi: saa

Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi saa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 5

Vidahizo

5 kwenye ukurasa huu

busaa

Pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa kuchachusha mahindi au mtama na kuwa nzito kama uji.

kisaa

1. Sehemu ya kitu inayobaki baada ya kutumiwa. 2. Vazi la kuvaa au kujifunika mwilini.

saa

1. Kipindi cha muda chenye dakika sitini. 2. Kifaa cha kuonyesha wakati, cha ukutani au cha kuvaliwa.