digrii
1. Shahada inayotolewa baada ya kukamilisha masomo ya chuo kikuu. 2. Kizio cha kupimia ukubwa wa pembe. 3. Kizio cha kupimia joto katika skeli fu...
Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi rii.
1. Shahada inayotolewa baada ya kukamilisha masomo ya chuo kikuu. 2. Kizio cha kupimia ukubwa wa pembe. 3. Kizio cha kupimia joto katika skeli fu...
1. Amri rasmi ya mamlaka ya serikali. 2. Uamuzi au amri iliyotolewa na mahakama.
1. Msomaji wa Kurani anayezingatia tajuwidi. 2. Msomaji anayekagua na kusahihisha maandishi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.