Vinjari kwa Silabi

Silabi: re

Vimepatikana vidahizo 54 vinavyoishia kwa silabi re.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 54

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

bure

1. Bila kutakiwa kutoa malipo au gharama. 2. Bila manufaa au matokeo yanayotarajiwa. 3. Bila sababu au bila kosa linalostahili matokeo hayo.

jore

1. Aina fulani ya mchezo wa karata. 2. Ndege wa samawati mwenye mdomo mrefu na mnene.

kware

1. Ndege mdogo wa porini wa kahawia mwenye madoa. 2. Machimbo ya mawe ya kutengenezea kokoto.

ndere

1. Dawa ya jadi inayohusishwa na mazingaombwe ya waganga. 2. Dawa ya uganga anayopewa mwanamume kwa imani ya kumvutia kwa mwanamke fulani.

njegere

1. Nafaka ya jamii ya maharage yenye punje za mviringo zinazokuwa njano zikikomaa. 2. Samaki wa baharini anayefanana na ningu lakini mkubwa zaidi ...

sare

1. Mavazi ya namna moja ya kundi fulani. 2. Kwa kuwa na matokeo au nguvu zinazolingana.

shore

1. Ndege wa karibu na makazi anayekula matunda kama mapera. 2. Nywele ndefu zinazojitokeza mbele ya kichwa.

taire!

1. Wito wa mganga wa jadi wa kuvuta usikivu wa waliopo. 2. Jibu la kukubaliana na ramli ya mganga.

tebwere

1. Yenye ulaini na kulegea. 2. Kwa ulaini mkubwa au kulegea kabisa. 3. Katika hali ya uchovu au kuvunjika moyo.