Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi rai.
Chombo kipana cha bati chenye umbo la bakuli kubwa.
Kipashio cha neno moja au zaidi kisicho na uhusiano wa kiima na kiarifu.
Kupoteza fahamu na kutokuwa na mwitikio wa kawaida.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.