buraa
Kuondolewa kwa wajibu wa kulipa deni au mahari.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi raa.
Kuondolewa kwa wajibu wa kulipa deni au mahari.
Jina linaloweza kudhalilisha, linalotumiwa kwa mtoto anayeishi au kurandaranda mitaani na kutafuta chakula kwenye majalala.
Kipimo cha urefu kutoka kiwiko hadi ncha ya kidole cha kati.
Kundi la aya ndani ya sura ya Kurani.
Namna ya kusoma Kurani.
Vikonyo vyenye majani vya mraa vinavyotafunwa kama kileo.
Zungumza kwa kubabaika ukikosa la kusema.
Kitambaa au barakoa ya wanawake ya kufunika uso.
Neno la kutanguliza sharti; iwapo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.