Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi pwi.
Majani ya tumbaku yaliyokaushwa.
Choo kilichojengwa katika ubavu wa jahazi.
Matumbwitumbwi yanayovimbisha eneo la mashavu na mataya.
Mmea wa majini wenye majani mapana unaofanana na mwani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.