karikopwa
Kitambaa cheupe na kigumu chenye uzito wa kaki.
Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi pwa.
Kitambaa cheupe na kigumu chenye uzito wa kaki.
Sehemu ya ufuo inayobaki kavu bahari inapopungua.
Hali ya bahari kupungua maji karibu na ufukwe.
1. Mtu anayefanya kazi ya ubaharia. 2. Mvuvi anayefanya shughuli zake baharini.
Rudi nyuma na kupunguza maji kwenye ufuko wa bahari.
Kazi na maarifa ya shughuli za majini; ubaharia.
1. Sehemu ya pwani inayofunikwa na kuachwa na maji. 2. Uhusiano wa mjomba na mtoto wa dada yake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.