Vinjari kwa Silabi

Silabi: pio

Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi pio.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 3

Vidahizo

3 kwenye ukurasa huu

chupio

1. Tendo la kuruka kutoka sehemu moja. 2. Kifaa cha kubania na kushikilia nywele.

karipio

1. Maneno makali yanayotolewa kwa kumkemea mtu. 2. Onyo la mwajiri kuhusu uzembe wa mfanyakazi.