chapia
Tandaza tabaka la awali la mchanganyiko wa saruji ukutani kabla ya kupiga ripu.
Vimepatikana vidahizo 13 vinavyoishia kwa silabi pia.
Tandaza tabaka la awali la mchanganyiko wa saruji ukutani kabla ya kupiga ripu.
Rukia kitu au mahali.
Ruka kutoka tawi moja hadi jingine.
Mashine ya kunakili maandishi, michoro na picha.
Mwambie mtu maneno makali ya kumkemea.
1. Sehemu ya juu kabisa ya mlima au mnara. 2. Malighafi ya kutia rangi mishipi au nyavu na kuziimarisha.
1. Mpe mtu ishara kwa kufumba jicho. 2. Inamisha au betua kichwa kwa mwendo mfupi.
Taka vitu kwa pupa kuliko unavyohitaji.
1. Kifaa cha kuchezea kinachozunguka juu ya ncha yake. 2. Vilevile au kwa kuongezea. 3. Mfupa wa duara ulio mbele ya goti. 4. Sehemu ya mbele ya...
Enda huku na kule ukishughulikia mambo mbalimbali.
Kizio cha fedha kilichowahi kutumika Afrika ya Mashariki.
Tamani kupata kitu kwa pupa.
1. Rashia kitu juu ya kingine. 2. Weka vazi juu ya bega au kichwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.