gurunzi
Bunzi la mahindi lisilo na punje.
Vimepatikana vidahizo 23 vinavyoishia kwa silabi nzi.
Bunzi la mahindi lisilo na punje.
1. Mali ya thamani iliyofichwa chini ya ardhi. 2. Chakula cha mchele na pojo kilichopikwa kwa nyama na viungo.
Kipande kidogo chembamba kilichomeguka kwenye mti.
Kichezeo cha majani ya mitende kinachozungushwa na upepo.
Usemaji wa mafumbo ili wengine wasielewe.
Pambo la shanga linalovaliwa kuzunguka mkono.
Kifungo cha duara katika uzi au kamba cha kukazia kitu.
1. Muunganiko mzima wa mifupa unaounda umbo la mwili. 2. Fremu inayozunguka uwazi wa mlango. 3. Kizuizi cha uwanjani kinachorukwa katika mbio za ...
1. Taa ya mkononi inayotumia betri au umeme wa waya. 2. Taa kubwa ya umeme ya kuangaza eneo pana.
Kipande angavu cha kupindisha mwanga katika kifaa cha kuona.
Mtu mwenye ujanja au werevu.
Fundi anayeunda vyombo kwa udongo.
1. Mwalimu wa chuo, hasa cha mafunzo ya cheti au diploma. 2. Mwenye shahada ya kwanza anayefundisha huku akiendelea na masomo ya juu.
1. Kiongozi wa idara kuu, shirika au taasisi. 2. Mtu aliyepata elimu nyingi.
Mvuvi anayetumia shuka kukamata samaki au dagaa.
Mtu anayepokea mafunzo ya maarifa au elimu.
Mtu anayejifunza ufundi kwa kuongozwa na mwalimu.
Mdudu arukaye anayepatikana sana sehemu zenye uchafu.
Huzuni kubwa inayoulemea moyo.
Kitanzi cha kamba kinachokazwa au kulegezwa kwa kuvuta.
Hali ya kuwa katika kujifunza au mafunzo.
Sanaa ya kutengeneza vyombo kwa udongo.
Pombe ya jadi inayopatikana kwa kugema mianzi michanga.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.