chonza
1. Jambo au hali inayokosesha amani na kuleta hangaiko. 2. Mgogoro au mabishano baina ya watu.
Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi nza.
1. Jambo au hali inayokosesha amani na kuleta hangaiko. 2. Mgogoro au mabishano baina ya watu.
Kitu kilichopashwa moto cha kukandia mwili.
Ubao wa kufunika sehemu ya kaburi wakati wa mazishi.
1. -enye kutangulia wengine katika mpangilio. 2. Hivi punde tu katika mwanzo wa jambo. 3. Kabla ya kufanya jambo jingine.
Mwanamke anayeshirikiana mume na mke mwingine.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.