Vinjari kwa Silabi

Silabi: nyi

Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi nyi.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 9

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

mwinyi

1. Mtu anayependa starehe bila kujishughulisha na kazi. 2. Jina la heshima la kumwita mwanamume.

umwinyi

1. Hali ya kumiliki mashamba na majumba. 2. Maisha ya kupenda kukaa bila kufanya kazi.