Vinjari kwa Silabi

Silabi: nti

Vimepatikana vidahizo 15 vinavyoishia kwa silabi nti.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 15

Vidahizo

15 kwenye ukurasa huu

ajenti

Mtu au asasi inayofanya biashara au kutoa huduma kwa niaba ya mtu mwingine au kampuni; wakala.

akaunti

Mpangilio wa kuhifadhi fedha benki kulingana na masharti ambayo benki na mteja wamekubaliana.

waranti

1. Hati rasmi ya mamlaka ya kukamata mtu. 2. Hati ya kusafiria bila kulipa nauli moja kwa moja. 3. Ahadi ya kurekebisha au kubadilisha bidhaa yen...