chokonoa
1. Toa kitu mahali kilipokwama kwa kukisukuma au kukichokora kwa shida. 2. Muulize mtu maswali mengi ili kupata habari za ndani.
Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi noa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.