kanju
Tunda la mkanju linaloitwa pia mbibo.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi nju.
Tunda la mkanju linaloitwa pia mbibo.
Mtoto mwenye umri mdogo.
Bingwa wa kutunga na kuimba nyimbo.
-anayetajwa kwa dharau kuwa hana akili timamu.
Mti unaozaa korosho.
Kipande cha nyama kilichopo juu ya kichwa cha ndege.
Kima mkubwa mwenye manyoya mekundu anayekula majani machanga.
Kishungi cha nyama kichwani mwa jogoo.
Chembe za udongo katika maji yaliyotibuliwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.