chanjo
1. Mkato au alama inayobaki baada ya kuchanjwa ngozi. 2. Maandalizi ya kibayolojia yanayochochea kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Vimepatikana vidahizo 18 vinavyoishia kwa silabi njo.
1. Mkato au alama inayobaki baada ya kuchanjwa ngozi. 2. Maandalizi ya kibayolojia yanayochochea kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa fulani.
1. Tendo la kuchinja mnyama au kutoa uhai kwa kukata shingo. 2. Fupi au ndogo kuliko urefu au ukubwa unaotarajiwa.
1. Maneno ya fitina au uchochezi yanayosababisha watu kutofautiana. 2. Tunda linalotoa ute au maji yanayofanana na gundi. 3. Pembeni au katika se...
Eneo lililoachwa na watu waliokuwa wakiishi hapo.
Taabu inayotazamwa kama jaribio analopewa mtu na Mungu.
Mimea mirefu ya sehemu zenye maji inayofanana na matete.
Namna ya kutenda kwa maringo na mbwembwe.
1. Utaratibu wa kukipasua kitu kitengane. 2. Zawadi ya kwanza anayopewa mchumba, hasa nguo.
1. Ukatwaji wa chale katika ngozi. 2. Upasuaji wa kitu katika vibanzi.
1. Kuondoa udongo wa ziada wakati wa kufinyanga. 2. Namna ya kutekeleza uchinjaji. 3. Ukifupi au udogo wa vazi.
Mti wenye matunda yanayotoa ute wa kunata.
1. Sehemu iliyopinda katika kitu laini. 2. Tendo la kupinda kitu laini.
Mti mrefu unaofungwa mguuni ili mcheza ngoma aonekane mrefu.
Tendo la kukivunja kitu.
1. Kuonja chakula au kinywaji ili kufahamu ladha yake. 2. Tukio analolipitia mtu kwa mara ya kwanza maishani. 3. Jaribu au hali ngumu inayompata ...
Mtu mwenye miguu iliyo mirefu sana.
Ujira unaotolewa kwa kazi ya kuchinja.
Sehemu ya kitu iliyopetwa au umbo linalotokana na kukunja, hasa kwenye ukingo wa nguo au bati.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.