kalakonje
Paka mkubwa wa porini anayekula vifaranga.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi nje.
Paka mkubwa wa porini anayekula vifaranga.
Sarafu zilizotengenezwa kwa fedha.
Mahali palipo upande wa pili wa mipaka ya kitu, pasipo ndani.
Mdudu anayefanana na panzi na kutoa mlio mkali.
Maneno makali yanayotolewa kwa kukaripia, kukemea au kueleza hasira.
1. Ukuta mwembamba unaochomoza kando ya mwingine. 2. Mwiba wa nyuki unaobaki katika ngozi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.