king'ong'o
Sauti inayopitia puani wakati wa kutamkwa.
Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi ng'o.
Sauti inayopitia puani wakati wa kutamkwa.
1. Nzi wa kufyonza damu anayeweza kueneza malale. 2. Kiasi cha upepo kinachoingia ndani ya tanga.
Tamko la kukataa au kukanusha kabisa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.