gonea
Shindwa kutimiza kazi au kufaulu katika jambo.
Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi nea.
Shindwa kutimiza kazi au kufaulu katika jambo.
Chakula chochote kinacholiwa wakati wa njaa.
Mtu mwenye mali au fedha zinazofikia mamilioni.
1. Kaa mahali ukikataa au usipotaka kuondoka. 2. Ganda kwenye uso wa kitu.
Poteza ukali wa kukatia.
Jigaragaze kwenye mahali penye uchafu.
Kuwa sawa baada ya kufanyiwa marekebisho.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.