Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi nai.
Kosa la uhalifu lenye kuleta madhara.
1. Tosheka na kuishiwa hamu ya kitu. 2. Ridhika na kile ulichonacho.
Ala ndefu nyembamba ya kupuliza inayofanana na filimbi.
Yenye mwanga mkali au mng'ao.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.