Vinjari kwa Silabi

Silabi: mwe

Vimepatikana vidahizo 10 vinavyoishia kwa silabi mwe.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 10

Vidahizo

10 kwenye ukurasa huu

mkomwe

1. Mmea wenye kokwa zinazotumiwa kama kete za bao. 2. Unga unaodaiwa katika imani za uchawi kuua anayeukanyaga.

zimwe

1. Kisicho na moto baada ya mwako kukoma. 2. Kisichokuwa na kitu ndani yake.