kimwa 1. Kosa hamu ya kuendelea na kitu baada ya kukitosheka. 2. Patwa na hasira au kuudhiwa na jambo. Soma zaidi