chonjomoa
Rudiwa na hali au tatizo lililokuwa limekwisha ondoka.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi moa.
Rudiwa na hali au tatizo lililokuwa limekwisha ondoka.
Sukasuka maji kinywani ili kukisafisha.
Tenganisha kitu kilichofungwa kwa misumari au gundi.
1. Jaribu kuwika ukiwa jogoo mchanga. 2. Toa kitu tumboni kwa kujikaza na kutumia nguvu.
Angusha au bomoa kitu kutoka juu.
Fanya kidonda kiongezeke ukubwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.