jumla
1. Idadi inayopatikana vitu vikihesabiwa pamoja. 2. Kila kitu katika mkusanyiko unaotajwa. 3. Uuzaji au ununuzi wa bidhaa nyingi kwa pamoja.
Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi mla.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.