chechemea
Tembea kwa shida kwa kutokanyaga sawasawa, hasa kutokana na kuumia.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi mea.
Tembea kwa shida kwa kutokanyaga sawasawa, hasa kutokana na kuumia.
Tia vitu ndani ya mfuko au gunia kwa kuvishindilia.
Ondoka na kutoweka mahali pasipojulikana.
1. Potea kabisa mahali pasipojulikana. 2. Angamia kabisa au toweka.
Kusafiri mbali na kutokomea.
Kumtolea mtu kelele za dharau.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.