jimbu
1. Sehemu ya maji iliyo na kina kikubwa. 2. Shimo au uwazi mkubwa katika ardhi.
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi mbu.
1. Sehemu ya maji iliyo na kina kikubwa. 2. Shimo au uwazi mkubwa katika ardhi.
Kinena cha mwanamke.
Mdudu mdogo ambaye jike la aina fulani hunyonya damu.
Ukosefu mkubwa wa maarifa na kufikiri.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.