Vinjari kwa Silabi

Silabi: maa

Vimepatikana vidahizo 11 vinavyoishia kwa silabi maa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 11

Vidahizo

11 kwenye ukurasa huu

jamaa

1. Watu wenye uhusiano wa karibu wa kifamilia. 2. Watu unaowajua au kushirikiana nao kazini. 3. Mtu anayerejelewa bila kutajwa jina.

komaa

1. Fikia hatua ya kupevuka kwa zao au tunda. 2. Fikia utu uzima au umri wa kuweza kuzaa.

ujamaa

1. Uhusiano wa watu wa ukoo mmoja. 2. Mfumo unaosisitiza umiliki wa uzalishaji kwa niaba ya umma.