angalau
1. Walau; kiasi cha chini kinachokubalika au kinachotarajiwa. 2. Ijapokuwa au hata kama.
Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi lau.
1. Walau; kiasi cha chini kinachokubalika au kinachotarajiwa. 2. Ijapokuwa au hata kama.
1. Angalau kiasi au hali inayotajwa. 2. Lau au kama jambo lingekuwa hivyo.
Neno la kuanzisha hali ya masharti.
Wali unaopikwa pamoja na nyama na viungo.
Zana ya kulimia inayovutwa na trekta au mnyama.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.