kikwi
1. Jina la kishairi la idadi ya elfu moja. 2. Chenye idadi kubwa sana. 3. Kipindi chenye miaka elfu moja.
Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi kwi.
1. Jina la kishairi la idadi ya elfu moja. 2. Chenye idadi kubwa sana. 3. Kipindi chenye miaka elfu moja.
1. Mtu mwenye kimo kifupi sana na umbile dogo. 2. Kitu kilicho kifupi sana kwa kimo.
1. Mtu anayetumia nafasi au utaalamu wake kujinufaisha kinyume na maadili. 2. Mtu anayetumiwa kuisaliti nchi yake.
Sauti za kooni zinazotokea kwa mishtuko mifupimifupi isiyo ya hiari.
Nyoka wa kijani anayetajwa kuwa hana sumu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.