Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi kwe.
Baba wa mke au mume wa mtu; baba mkwe.
Mmea ulioota mahali ambapo hautakiwi.
Mama wa mwenzi wako wa ndoa.
Mti unaozaa matunda ya topetope.
Uhusiano unaotokana na ndoa kati ya mtu na jamaa za mke au mume wake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.