bokwa
Tunda la aina ya mpapai.
Vimepatikana vidahizo 19 vinavyoishia kwa silabi kwa.
Tunda la aina ya mpapai.
Ndege wa kando ya maji mwenye miguu mirefu na domo refu lililopinda chini; chekeamwezi.
1. Fanyiwa kicheko na wengine. 2. Dharauliwa au kudhihakiwa. 3. Kwa wingi au tele.
Yenye ladha ya chumvi na sukari kwa pamoja.
Kicheko kikubwa kinachosikika kwa nguvu.
Sauti ya usemi inayoundwa kwa kutumia ala za matamshi.
Mbegu ngumu iliyo ndani ya tunda.
1. Neno la kuonesha kifaa kinachotumiwa kutenda. 2. Neno la kuonesha vitu vinavyohusishwa pamoja. 3. Neno la kuelekeza makazi au mahali pa mtu. ...
Tunda kubwa la mviringo lenye ganda gumu, la kufanana na bungo.
1. Sehemu ya mmea iliyokatwa kwa ajili ya kuunganishwa na nyingine. 2. Jiti la ubavuni mwa chombo la kukinga mizigo na maji.
Mahitaji au mambo anayoyataka mtu.
1. Salamu inayotumiwa katika shughuli za jando. 2. Tamko la kumwomba aliyekosewa msamaha.
Mmea unaotanda juu ya vichaka na kuzaa matunda yanayoliwa.
Mchezo wa kurusha na kudaka vitu kadhaa kwa wakati mmoja.
Mwito wa kufungua simulizi la hadithi.
Fanywa maskini kwa kuchukuliwa mali zako.
1. Jambo ambalo mtu anapenda au anahitaji. 2. Kuzingatia amri za Mwenyezi Mungu.
Kimiminika kutoka kupitia uwazi wa mwili au kitu.
Tezi ya mate iliyo chini ya taya.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.