Vinjari kwa Silabi

Silabi: kua

Vimepatikana vidahizo 10 vinavyoishia kwa silabi kua.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 10

Vidahizo

10 kwenye ukurasa huu

bakua

1. Kumnyang’anya mtu kitu kwa nguvu; kupokonya. 2. Kupiga au kuzaba mtu, hasa kofi.

bukua

1. Soma kwa bidii na kwa muda mwingi, hasa kujiandaa kwa mtihani. 2. Gundua taarifa, siri au jambo lililokuwa limefichika.

tekua

1. Sukuma kitu kitoke mahali na kuanguka. 2. Ng’oa kitu kwa kutumia nguvu.