Vinjari kwa Silabi

Silabi: koa

Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi koa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 7

Vidahizo

7 kwenye ukurasa huu

bokoa

1. Jitokeze au chomoza upande mwingine wa kitu. 2. Pita au penya katika tundu dogo. 3. Vuna mazao au pata vitu kwa wingi.

mkoa

1. Eneo la utawala linalojumuisha wilaya kadhaa. 2. Kipande cha madini kilichoundwa kwa umbo la mstatili.

nyokoa

1. Mega sehemu ya kitu laini kwa meno au vidole. 2. Kata na kuondoa sehemu ya mwili.