kakao
1. Punje zinazopatikana katika matunda ya mkakao. 2. Unga unaotengenezwa kwa punje za mkakao. 3. Kinywaji kinachoandaliwa kwa unga wa mkakao.
Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi kao.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.