ajaa
Tendo, tukio, kitu au hali isiyo ya kawaida inayomshangaza mtu.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi jaa.
Tendo, tukio, kitu au hali isiyo ya kawaida inayomshangaza mtu.
1. Lundo la vitu vilivyotupwa kama taka. 2. Sehemu iliyotengwa kwa kutupia taka. 3. Kuwapo kwa kiasi kingi katika sehemu fulani. 4. Sambaa katik...
Jozi ya mawe ya duara ya kusagia nafaka.
Pungua kuvimba au kupunguza hewa iliyomo ndani.
Mtu mwenye moyo wa kukabili hatari bila woga.
Ujasiri wa kukabili hatari au ugumu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.