dhabihu
1. Chinja mnyama kwa kusudi la kutoa kafara. 2. Kitu kinachotolewa kama kafara. 3. Mahali pa kufanyia tambiko au kutolea kafara.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi hu.
1. Chinja mnyama kwa kusudi la kutoa kafara. 2. Kitu kinachotolewa kama kafara. 3. Mahali pa kufanyia tambiko au kutolea kafara.
Fikia kiwango kikubwa cha uzoefu au ujuzi.
1. Sehemu ya kutolea tambiko. 2. Meza ya kuadhimishia ibada ya misa. 3. Mahali pa kuchinjia wanyama.
Mambo yanayokera na kuudhi.
Hamu ya kingono aliyo nayo mtu.
Mtu aliyepatwa na kuchanganyikiwa sana kiakili.
1. Mapatano ya kuondoa uhasama na kurudisha maelewano. 2. Sare ya washindani bila mmoja kumzidi mwingine.
Tamko la kumtaja mwandishi mwisho wa barua.
Hali ya kuvurugika akili kwa maana ya kawaida.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.