kipozahewa
Kifaa cha kupunguza joto la hewa ndani ya jengo.
Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi hewa.
Kifaa cha kupunguza joto la hewa ndani ya jengo.
1. Mtiririko wa hewa unaotumiwa katika utamkaji wa sauti. 2. Njia inayopitisha hewa yenye joto.
1. Taaluma ya kuendesha vyombo vinavyosafiri angani. 2. Kazi ya kuendesha vyombo vya angani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.