bahau
Mtu anayedharauliwa kuwa haelewi mambo kwa urahisi hata akielezwa.
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi hau.
Mtu anayedharauliwa kuwa haelewi mambo kwa urahisi hata akielezwa.
Ndugu wa kiume wa mama.
1. Fungu la maneno lenye maana ya pamoja isiyopatikana kwa kutafsiri kila neno peke yake. 2. Sarufi ya lugha.
1. Upumbavu au ukosefu wa ustaarabu katika kauli ya lawama. 2. Ukatili unaokosa huruma.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.