Vinjari kwa Silabi

Silabi: hai

Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi hai.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 6

Vidahizo

6 kwenye ukurasa huu

hai

1. Kinachoendelea kuishi. 2. Tamko la kupunguza makali ya jambo lisizidi.

laghai

1. Mdanganye mtu kwa hila ili ujipatie manufaa. 2. Mtu anayetumia ujanja kuwadanganya wengine.