jugwe
Mchezo wa timu mbili kuvutana kwa kamba.
Vimepatikana vidahizo 8 vinavyoishia kwa silabi gwe.
Mchezo wa timu mbili kuvutana kwa kamba.
Mtu aliyefikia uzee mkubwa.
Mmea unaozaa punje za maharagwe.
Ndizi zilizokaushwa baada ya kuondolewa maganda.
Mmea wenye matunda meupe yanayogeuka njano yakiiva.
1. Mtaro unaochimbwa kwa ajili ya kupanda mbegu. 2. Kipande cha ardhi kilichopimwa na kutengwa kwa mtu kulima.
Tunda dogo chungu la kijani au jeupe linalopikwa kama mboga.
Kamba ndogo yenye unene kuliko uzi wa kawaida.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.