Vinjari kwa Silabi

Silabi: guu

Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi guu.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 9

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

guu

1. Mguu wenye ukubwa uliopitiliza. 2. Kipande cha kuimarisha kiungo kati ya tumbo la ngalawa na mirengo.

mguu

1. Kiungo cha kusimamia au kujongea cha kiumbe. 2. Tegemeo la chini linalosimamisha kifaa.