Vinjari kwa Silabi

Silabi: gua

Vimepatikana vidahizo 12 vinavyoishia kwa silabi gua.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 12

Vidahizo

12 kwenye ukurasa huu

chagua

1. Ondoa takataka au vitu visivyofaa kutoka katika nafaka au chakula kingine. 2. Teua kitu au mtu miongoni mwa wengine. 3. Teua mtu kwa kupiga kura.

dengua

1. Nyoa nywele kuanzia upande mmoja wa kichwa hadi mwingine. 2. Tembea kwa maringo ukijipinda huku na kule. 3. Cheza ngoma kwa matao ya mwili.

fungua

1. Ondoa kizuizi au kifungo kitu kiwe wazi. 2. Achilia mhusika aliyekuwa amefungwa. 3. Legeza kamba au mkanda uliokaza. 4. Anzisha matumizi au s...