kanyagio
1. Sehemu ya chini ya mguu wa mnyama hadi kwenye kwato. 2. Sehemu ya mguu inayogusa ardhi mtu au mnyama anapotembea. 3. Sehemu ya baiskeli inayos...
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi gio.
1. Sehemu ya chini ya mguu wa mnyama hadi kwenye kwato. 2. Sehemu ya mguu inayogusa ardhi mtu au mnyama anapotembea. 3. Sehemu ya baiskeli inayos...
Mmea unaokatwa kutengenezea ufagio.
Kishimo cha kwenye shina kinachosaidia kupanda mti.
Kifaa cha kukusanya na kuondoa uchafu sakafuni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.